ππ‘π„π€πŠπˆππ†: Rais wa FC Bayern anasema “Jamal Musiala anaweza kuwa Thomas MΓΌller mpya na hivyo abaki kwenye klabu kwa siku zijazo

kutokana kuisha mwaka wa 2026.

“Kwa maoni yangu, anaweza kuwa Thomas MΓΌller wa pili … ili aweze kukaa hapa kwa miaka 20 ijayo”.

“Tutafanya kila tuwezalo kuongeza mkataba wake”, aliiambia TZ.

By Jimmy

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *