Cristiano Ronaldo: “Man United kwa kweli wanapaswa 𝐫𝐞𝐛𝐮𝐢𝐥𝐝 kila kitu — ni wazi kabisa” 🔴⚠️

“United wanahitaji muda wa kujijenga upya kwa sababu bado ni mojawapo ya klabu bora zaidi duniani… wanahitaji kubadilika”.

“Wanaelewa hilo. Ndiyo njia pekee ya kurudi”.

“Hii ndiyo sababu wanaonyesha, wanaanza kubadilika tena, muundo wa klabu, rais, miundombinu”.

“Wamiliki wa klabu wanawekeza kwenye uwanja wa mazoezi … kwa hivyo nina furaha kwa sababu mambo yanabadilika”.

By Jimmy

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *