Selecao wa Brazil alipoteza ๐Ÿ๐จ๐ฎ๐ซ kati ya mechi tano zilizopita za kufuzu Kombe la Duniaโ€ฆ na Vinicius anasema ๐’”๐’๐’“๐’“๐’š ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ท

Hii ilitokea baada ya kocha mkuu wa Brazil Dorรญval Junior kuhakikisha kwamba “tutakuwa fainali 26 za Kombe la Dunia”.

“Nataka kuwaomba mashabiki msamaha”, Vinicius anasema.
“Najua ni wakati mgumu lakini tutarudi”.

“Huwezi kulinganisha uchezaji na Real Madridโ€ฆ ๐ ๐š๐ฆ๐ž๐ฌ ๐ข๐ง ๐„๐ฎ๐ซ๐จ๐ฉ๐ž ๐š๐ซ๐ž ๐Ÿ๐š๐ฌ๐ฌ๐ฌ๐ฌ๐ฌ ๐ก๐ž๐ซ๐ž, hiyo ni rahisiโ€.

“Mpira unafika kwa kasi zaidi kwa sababu ya uwanja, tunapaswa kuzoea kucheza kwa njia bora zaidi kushinda michezo kwa Brazil”.

By Jimmy

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *